Haijathibitika kuwa ugonjwa ulitokea hispania lakini ulikuja kuisha mwaka 1919 mpaka muda huu dunia haijui ni kipi kilipelekea ugonjwa huu ukamalizika ghafla
UGONJWA WA UKIMWI
Hadi muda huu bado Vita vinaendlea dhidi ya ugonjwa huu japo inaonyesha kuna muda unahitajika zaidi ili angalau ipatikane dawa fawafu.
ANTONINE (mwaka 165-180)
Inasemekana ugonjwa huu ulianzia huko nchini Mesopotamia katika mji wa Seleucia (Baghdad ya sasa) na ugonjwa huu ulisambazwa na wanajeshi ambao walikuwa wanatoka kwenye vita kurudi nchini kwao Roma
inasemekana ugonjwa huu uliua zaidi ya watu million 5
Zaidi ya watu elfu 2 kutoka Roma walifariki kila siku
Sababu ya ugonjwa huu kuitwa antonine ni kutoka kwa jina la mtawala wa Roma kwa wakati huo aliitwa Marcus Aurelius Antoninus naye alifariki kwa ugonjwa huo
MAFUA YA ASIA (mwaka 1957)
Ndani ya miezi 6 zaidi ya watu elfu 14 walifariki kwa mafua haya..inasemekana yalianzia Hong Kong kisha yakaenea China nzima kisha yakasambaa marekani na uingereza
katika awamu ya pili ya ugonjwa mwaka 1958 zaidi ya watu million 1 walifariki duniani kote
Mapacha tisha wa kipekee - waliozaliwa wakati mmoja - wako "katika afya kamilifu" wanaposherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa mara ya kwanza, baba yao amesema