antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Sio rahisi hata kidogo, lakini ni nzuri na ni jambo la kufariji," alisema.
UGONJWA WA UKIMWI
Hadi muda huu bado Vita vinaendlea dhidi ya ugonjwa huu japo inaonyesha kuna muda unahitajika zaidi ili angalau ipatikane dawa fawafu.
Aisee!Inasemekana ugonjwa huu umeanzia Congo mwaka 1959 lakini mtu wa Kwanza kugundulika ni mwaka 1981 katika nchi ya Cameroon