Labda una furaha kutokana na una familia nzuri, lakini kwa kina utaona kuwa furaha hiyo inategemea uwepo wa familia nzuri, na uwepo huo ukitenganishwa kwa vifo, maisha, mabadiliko mbalimbali basi furaha yake nayo inaisha
Furaha inayopatikana nje ni furaha ya muda mfupi lakini ukijizoesha kupata furaha ndani yako utaiona furaha isiyo na kikomo wala hautakuwa na wasiwasi wa kupoteza furaha yako kwani inapatikana bure.
Furaha haipatikani kwa kuwakosea wengine.
Katika kutafuta furaha yako hakikisha haumkosei mtu, hakikisha unaelewa kuwa na wanadamu wengine nao wanahitaji furaha
Ulaji wa njegere mara kwa mara husaidia kuboresha kinga ya mwili, kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu lakini pia huzuia mtu kuzeeka kwa haraka na zina kiwango kidogo cha kalori.