antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anasema anataka kiungo wa kati wa Ureno Bernardo Silva, 27, ambaye amekuwa akihusishwa na Barcelona, kusalia na mabingwa hao wa Ligi ya Premia lakini akaongeza kuwa hapendi kuwaweka wachezaji "wasio na furaha" katika klabu hiyo. (Metro)