Zuhuraz
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 510
- 422
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏
🤔🙄Unaambiwa kizaazaa kimetokea jijini Dar es Salaam ambapo baada ya mwanamke mmoja kufiwa na mumewe, ndugu wameanza kugombea kumrithi mjane ambaye mwenyewe hataki. Mkasa mzima umejadiliwa katika Kipindi cha Katambuga ambapo wanaume wenye tabia hiyo wameonywa kuachana nayo hasa katika zama hizi ambazo kuna maradhi mengi ukiwemo Ukimwi