Zuhuraz
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 510
- 422
Amen
Aamina
Amen
👍Hakikisha unakula mlo kamili kila siku,mlo kamili haimaanishi chakula kingi cha kushiba,lahasha! ni chakula chenye virutubisho vyote
SawasawaHakikisha unakuwa na uzito usio pitiliza kwani, uzito mkubwa au unene huweza kuwa mlango wa kukaribisha magonjwa mengi kama presha au shinikizo la damu,kisukari, N.K
Aisee!Kukojoa mkojo wenye rangi ya Pink, Brown au nyekundu
🙏🙏🙏Naamini BAK yupo, ni kawaida yake kuadimika,hata jamaa yake ameadimika lakini hewani yupo.
Uwe na asubuhi njema mkuu [emoji120]