Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bwahaha [emoji1787]
Mwambie shimba akamtafute!
Ingawa ni mbali sana!
Anasema hataki tena shida kaenda kwenye barafu na baridi, watu wachache!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe ruhusa nije nikusabahi hapo ufukweni kama bado upo hapo...
Kaa ghorofani tu huu upande wa barabara nitapunga mkono wa upendo kwako [emoji112]
 
Back
Top Bottom