Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mlishakaa na akina Bill Gates na akina Zuckerberg wakawasimulia haya? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kitu ambacho ni tofauti Kwa Tajiri kwenye masaa yake 24 ata yatumia Kwa kujiongezea maarifa ya kujiongezea kipato zaidi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndo hapo mtu flani anakuwa ni Tajiri
Hii picha ilisababisha mgogoro mkubwa sana. Kijana mpole akanifuta kwenye ukoo pasi kunishirikisha [emoji23][emoji23][emoji23]Those good ole days [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2277711
Zuhuraz [emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei; Masaki peninsula izi mai home japo kwa sasa nimehamia Alaska [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 2277717