myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ποΈSalam kwenu wote
AmenMungu atupe siku njema π π€²
AmenMungu atupe afya na uzima π π€²
π€Making money [emoji383]!
πNice stuff!
Duhπ€Hapa chini ni baadhi ya mambo muhimu kufahamu kuhusiana na ubongo.
Ubongo wa binadamu huwa hauna vipokezi vinavyohusika na maumivu hivyo hauhisi maumivu kabisa, hivyo mtu anaweza kufanyiwa upasuaji wa ubongo huku akiwa na ufahamu wake na asihisi maumivu yeyote.
Aisee πTukiwa kwenye ufahamu wetu, ubongo huzalisha kati ya watts 10 hadi 23 za umeme ambao unatosha kabisa kuwasha taa moja ya umeme.
Sawasawa!Soma vitabu
Vitabu ni chanzo kikubwa cha hekima; Kadri unavyosoma vitabu ndivyo unavyozidi kupata hekima hii.
πFanya mazoezi
Mazoezi ni muhimu sana kwa ajili ya kujenga afya zetu. Unaweza kukimbia, kupiga push up, kuruka kamba, kunyanyua vyuma n.k.
KweliHivyo hatuna budi kuwaepuka watu hawa ili wasije wakatukwamisha katika kufikia malengo yetu. Ili kuwa bora zaidi ni muhimu kutambua ni watu gani wakuwa karibu nao maishani mwetu