myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend njema wakulima na wafugaji wote..
AiseeChelsea wamefufua nia yao ya kumnunua mlinzi wa Sevilla ya Ufaransa Jules Kounde, 23, baada ya Manchester City kuamua kutomuuza mlinzi wa Uholanzi Nathan Ake, 27 kwa timu ya Thomas Tuchel. (Guardian)
Safii hii..Arsenal wanashughulikia mpango wa kumsaini beki wa kushoto wa Ukraine Oleksandr Zinchenko, 25, kutoka Manchester City. (Athletic)
AmenMungu atupe siku njema 🙏 🤲
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲