Iwapo Kounde hatajiunga, Chelsea itazingatia mchezaji wa kimataifa wa Villarreal na Uhispania Pau Torres, 25, beki wa kati wa Inter Milan na Slovakia Milan Skriniar, 27, na Mkroatia Josko Gvardiol, 20, ambaye yuko RB Leipzig. Wafaransa wawili wa Bayern Munich Dayot Upamecano, 23, na Benjamin Pavard, 26, pia ni safu ya ulinzi. (Dakika 90)