Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
sawasawa..NINI KIFANYIKE KUWANUSURU NYATI WETU
1.Kupambana na ujangili kwa hali na mali kwa kuongeza askari wanyamapori katika maeneo tengefu ya uhifadhi wanyamapori na hifadhi za taifa. Hii pia inafatana na kuongeza doria za mara kwa mara katika maeneo husika ili kupunguza adha ya ujangili hapa nchini.