Unaweza kubashiri idadi ya wanawake ambayo mwanaume tayari ametoka nao kimapenzi kwa kuangalia namna alivyo mcheshi. Mwanaume mcheshi/anaependa kuchekesha kuna uwezekano mkubwa ametoka kimapenzi na wanawake wengi na zaidi huwa wanakua na uwezo mzuri wa kumfikisha mwanamke kileleni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.