Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Proboscis Monkey wanapatikana kwa wingi kisiwa cha Borneo, Indonesia. Ukiachana na kua na uwezo mkubwa kuogelea kwa madume mwenye pua ndefu na kubwa zaidi ndio huwa na nafasi kubwa zaidi ya kuvutia majike kwaajili ya kujamiiana!
 
Watu wanaopenda kupost mara kwa mara namna wakiwa wanafanya mazoezi kwenye mitandao ya kijamii, kuna uwezekano mkubwa wanasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia kwa mujibu wa utafiti kutoka Brunel University in London.
 
Kwa wastani mnunuzi wa kawaida tu wa Rolls-Royce kwa mwaka anapata kipato cha zaidi Tzs Bilioni 13.9. Gari la kawaida Rolls-Royce wastani bei huanzia Tzs milioni 700+
 
Instagram imesaidia urahisi wa upatikanaji wa taarifa mbalimbali, ni muhimu kwa serikali kuendeleza elimu zaidi na kuendelea kuboresha miundombinu ili upatikanaji wa taarifa uwafikie mpaka watu wanaoishi vijijini!
 
Ni wanawake 02 tu kati ya 05 ndio waliothibitisha kufurahia tendo la ndoa na wapenzi wao, kwa mujibu wa utafiti uliofanyika mwaka 2019.
 
Tafiti: Mchwa Malkia' ndie anaeishi kwa muda mrefu zaidi kuliko wadudu wengine wote. Ana uwezo wa kufikisha mpaka miaka 100 na zaidi kama koloni' yake haitakumbukwa na changamoto mbalimbali za kimazingira na uvamizi wa mara kwa mara!
 
Tafiti: Watu wanaopenda utani wa mada ambazo huwa zinasababisha hasira kwa baadhi ya watu wengine (mfano utani wa makabila, rangi ya mtu...) huwa na uwezo mkubwa zaidi wa akili (IQ) na maisha yao hupendelea kua na furaha zaidi!
 
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia ni muhimu kwa serikali kuweka taratibu na sheria nzuri za udhibiti wa vyanzo vinavyochochea urahisi wa upatikanaji wa taarifa, mfano ongezeko la vifurushi vya data n.k
 
Justinian Rweyemamu ndio alikua mtanzania wa kwanza kupata PhD kutokea Chuo Kikuu Cha Havard mwaka 1971.
 
Upatikanaji wa taarifa umekua bora sana kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, lakini ni muhimu kwa serikali kuendelea kuboresha miundombinu mpaka vijijini huku utoaji wa elimu ukizingatiwa kwa hali ya juu juu ya matumizi sahihi ya mitandao!
 
****** (anus) ni wa kipekee kama ilivyo kwa alama zako za vidole, haufanani na mtu mwingine yeyote duniani. Mbeleni wanasayansi wana mpango wakuanza kutumia kinyesi katika tafiti za mfananisho wa vinasaba!
Chanzo: The Naked Scientists.
 
Kituo cha ISS (International Space Station) ndio ghali zaidi katika historia ya maisha ya binadamu, hakuna chombo kingine chochote ambacho cha kutengenezwa kimeweza kufikia gharama hiyo.

Kinatajwa kua na thamani ya $150B sawa na Tzs. Trilioni 349.6.
 
Tafiti: Kuoga maji ya baridi mara kwa mara kwa mwanaume husaidia kuboresha uimara wa mbegu. Maji ya baridi yanaongeza kiwango cha homoni ya testestorone ambayo hufanya kazi muhimu kwenye maendeleo ya ukuaji na uimara wa mbegu.
 
Fisi: 80% ya chakula chao hukipata kwa kufanya mawindo, 20% hupata kwa kula mizoga au kupora kutoka kwa wanyama wengine kama Simba, Duma baada ya kuwinda.
 
Back
Top Bottom