antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Daah.. aisee😊Unaweza kubashiri idadi ya wanawake ambayo mwanaume tayari ametoka nao kimapenzi kwa kuangalia namna alivyo mcheshi. Mwanaume mcheshi/anaependa kuchekesha kuna uwezekano mkubwa ametoka kimapenzi na wanawake wengi na zaidi huwa wanakua na uwezo mzuri wa kumfikisha mwanamke kileleni.