Botswana: Ili kupunguza Simba kuua ng'ombe, Wataalamu waliamua kuwachora baadhi ya Ng'ombe mfano kama wa macho sehemu zao za nyuma. Baada ya miaka kadhaa Ng'ombe waliochorwa hakuna hata mmoja aliyeuliwa na Simba huku Ng'ombe 15 ambao hawakuchorwa waliuliwa na Simba!
Ni haki ya mwananchi kupata taarifa kutoka kwa Taasisi za serikali, pia ni wajibu wa Taasisi za serikali kuhakikisha taarifa inazotoa zinawafikia wananchi kwa urahisi
August' ndio mwezi watu wengi husheherekea siku zao za kuzaliwa, 'February' watu wachache wakati Wauaji wengi (Serial Killers) huzaliwa mwezi November!
Breakup' kwenye uhusiano wa kimapenzi inapotokea inakua ni ngumu kuweza kukubaliana na hali hiyo sababu tunapatwa na uraibu (addiction) wa mapenzi. Ni kama mraibu wa dawa za kulevya anavyojaribu kuacha kutumia dawa hizo!
The Lord of the Rings: The Rings of Power" inaenda kua series iliyoandaliwa kwa gharama zaidi kwa muda wote. Season 01 itakua na jumla ya episodes 08 na wastani wa kila episode imetumia $58.125M sawa na Tzs. Bilioni 135.2.
Tumia mitandao vizuri sio kwa manufaa yako tu bali na jamii nzima. Unapotumia mitandao hakikisha mitandao haikutumii (utumwa) bali wewe ndio unaitumia!
Tafiti: Watu hupendelea kula vyakula bora zaidi pale ambapo timu wanazoshabikia zinafanya vizuri, lakini timu zao zikiwa zinafanya vibaya huwa na mtindo mbaya zaidi wa kula chakula!
Tafiti: Watu wenye muonekano mzuri huwa hawadumu kwenye uhusiano wa kimapenzi. Moja ya sababu inayotajwa ni wanakua na machaguo mengi hivyo hupata changamoto ya kulinda uhusiano mmoja kudumu kwa muda mrefu!
Mwalimu mmja huku new Jersey awa gumzo kutokana shape yake wazazi wawaka wataka afukuzwe wadai anawachanganya watoto wakimuona huku wengine wakimtetea asifukuzwe Ila avae nguo za heshima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.