D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nimeligundua hilo, ila jamaa hana maneno ya shombo anapokejeliwa na TTCL yakeDaah huu mtandao wamekaa kizaman sana. Aliyekujibu kule Seoul kuhusu ttcl pesa naona ni wakala wao humu kila ukiongelea ttcl anaibuka😂😂😂😂
Ni kama huku koromije,zantel kuipata mtihani mzito