Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidia kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo miradi.
Kwa mantiki hiyo hiyo, nchi zinatambulisha kodi na tozo mbalimbali za msingi ili kufikia malengo yake ya utoaji wa huduma kwa wananchi na kuleta maendeleo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.