antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
kodi ya mapato kwa wafanyakazi (mfano PAYEE),
Salam kwenu wote
Asubuhi njema mlio kwenye daladala na bodaboda na bajaji..
Asubuhi njema walezi wa familia zetu..
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe siku njema [emoji120] [emoji2969]
Iwe siku yenye amani na utulivu..
Jua linachomoza na matumaini mapya..
[emoji2772][emoji2772]
Asubuhi njema [emoji2772]