Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Serikali ya nchi hiyo kupitia waziri wake wa fedha, Mwigulu Nchemba imejitokeza na kusema imepokea mijadala na malalamiko kuhusu tozo na sasa inakwenda kufanyia kazi.
 
Sasa zipo nchi ambazo mijadala ya aina hii haisikiki sana, si sababu haitozwi kodi ama tozo kabisa, zinatoza ila zaidi kwenye mapato ya faida ya biashara, kwa viwango vya chini na zingine hazigusi mapato binafsi ya watu wake.
 
Karibuni mpitie andiko hili
 
Mfanyakazi anatozwa 3.9% kwa ajili ya michango kwenye mfuko wa hifadhi ya jamiii ambayo hata hiyo ilionekana kubwa na kupendekezwa kufikia 3.4% huku ikitoza asilimia 12% ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa bidhaa na huduma zote kasoro vyakula na baadhi ya huduma za afya.
 
Panama nayo ina ahueni kubwa ya kodi ya mapato ya mtu binafsi ambapo kama mapato yako kwa mwaka yako chini ya dola $11,000 kama shilingi 25mil ya Tanzania au Shilingi 1,254 za Kenya basi hautozwi kodi.
 
Lakini ukiwa na kipato cha kuanzia dola $11,000 hadi $50,000 utalipa asilimia 15% na kama kipato chako kimezidi sola $50,000 utakatwa 25%.
 
Back
Top Bottom