FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,401
- 2,760
Sikatai mkuu, niulizwe kwanza sababu, tuchambue hoja, alafu nimesoma ii comment ikabidi niagize safari ingine kubwa ya moto.Unatakiwa ukamatwe kwa nguvu,ufungwe kamba halafu utandikwe bakora za shingoni nyingi sana.Kisha unapakiwa kwenye Kirikou,safari ya hotelini Milembe.ππππ
Lini hiyo umenitafutaMbona na wewe nakutafuta lakini unanipotezea?
Hatutaki kupoteza mda, mbona haeleweki huyoMkuu, ulizeni hata tatizo likwapi kabla hamjapiga simu mirembe.
Yani umenichenjia kabisa?Lini hiyo umenitafuta
Kumbe!!!?ππππSikatai mkuu, niulizwe kwanza sababu, tuchambue hoja, alafu nimesoma ii comment ikabidi niagize safari ingine kubwa ya moto.
Mkuu, kwani unatumia meno kuona?Kwani wewe ni KE au ME?
SAWAMwanaume kama mimi kumpenda mpenzi wangu ni aibu kubwa mbele ya uso wa dunia. Naombeni ushauri wakuu.
Hapana lbd sio mimiππYani umenichenjia kabisa?
Niko very serious....maanake the things we do tukianza ku fall in love. Mungu saidia.Aibu ya nini sasa.....are u serious?
Sijaelewa kajiua alafu kakimbia what is this???[emoji40][emoji40]SAWA
Pump ya petroli inafanya kazi vizuri tu...kwenye hilo usitie shaka kabisa. Na sevisi pia ni bora, kiwango cha total.Kwani haisimami?!
Tuwape wiki ngapi,maana mwez tutakuwa tunawatesa tuπ€£π€£π€£π€£π€Έπ€Έmtaachana tu......
Jamani hebu acha kunitia aibu japo sikuoniNiko very serious....maanake the things we do tukianza ku fall in love. Mungu saidia.
Aisee....View attachment 2346413
Zimbabwe imepiga hatua kwenye kilimo,huku kwetu tukifikia hii hatua sio leo!!!