Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chukulia mfano wa ukuaji wa mbegu: Mbegu inapoanza kuota na kukua hupitia changamoto mbalimbali
 
Lakini cha ajabu kupitia changamoto hizo mbegu hutumia changamoto hizo kujiboresha na kujiimarisha na hatimaye mbegu huota, hukua na kuzaa mbegu nyingine ambazo nazo zinapitia changamoto hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…