Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mithali 6:16-19

Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; Moyo uwazao mawazo mabaya; Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu; Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
 
Mba hutia aibu na wengi hufikiri mba hutokana na uchafu kwaio pale unapo kuna kichwa mbele za watu asilimia 99 ya watu hao watajua nywele zako ni chafu hujaosha japo kuwa mba pia huweza kusababishwa na aina ya mafuta uyapakayo
 
Back
Top Bottom