Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Botswana: Ili kupunguza Simba kuua ng'ombe, Wataalamu waliamua kuwachora baadhi ya Ng'ombe mfano kama wa macho sehemu zao za nyuma. Baada ya miaka kadhaa Ng'ombe waliochorwa hakuna hata mmoja aliyeuliwa na Simba huku Ng'ombe 15 ambao hawakuchorwa waliuliwa na Simba!
 
Paka wa majumbani ni moja ya viumbe wanaosababisha uharibifu/mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kimazingira, kitaalamu wanaitwa Invasive Species.

Invasive Species ni viumbe ambao ni wageni katika mazingira fulani na ndani ya muda mfupi tu huanza kuleta mabadiliko
 
Samsung imehusika kwa 82% kutengeneza vioo vya Iphone 14 zote, 12% iliyobaki wamehusika LG na 6% kampuni ya BOE kutoka China. Kwa mwaka huu Apple wanatarajia kuingiza sokoni iPhone 14 takribani milioni 34.Ushirikiano wa Samsung na Apple hasa kwenye kuunda vioo' upo kwa miaka mingi
 
Jonas Salk' baada ya kugundua chanjo ya ugonjwa wa Polio' aligoma kuiwekea hatimiliki yake ili kujipatia faida kama makampuni mengi ya dawa yanavyofanya. Alipoulizwa kwanini alisema " “Siwezi kuiwekea hatimiliki, Je waweza kuliwekea hatimiliki Jua?."Kama angeiwekea hatimiliki yake ingempa utajiri wa zaidi Tzs. Trilioni 16 ($7B)
 
Tafiti: Wanaume mfumo wao wa mwili umeundwa kulala mara moja baada ya tendo la ndoa, hii hutokana na mchanganyiko wa homoni kama Norepinephrine, Serotonin, Oxytocin, Vasopressin, Nitric Oxide (NO) na Prolactin ambazo hutolewa pindi wanapofikia kileleni. Homoni hizo hupoozesha mwili kwa dakika kadhaa!
 
Wanaume: Kibailojia Uume' una umbo mfanano sawa na Uyoga' lengo kuu likiwa ni kuzitoa (scoop) mbegu zingine za kiume zilizopo ndani ya Uke' ili mbegu za uzazi zitazoingia kwa muda huo ziwe na nafasi nzuri zaidi ya kufanya urutubishaji!
 
Ongezeko ya gharama za vifurushi vya Data inapunguza kasi ya maendeleo ya matumizi ya mitandao nchini sababu watu hutumia muda mdogo kushinda mtandaoni na hivyo kupelekea taarifa na biashara kukua kwa kiwango kidogo. Ni muhimu kwa serikali kuliangalia hili kwa jicho pana kwa mustakabali wa maendeleo ya teknolojia
 
Wanaume wanaopenda kufanya kazi za nyumbani kama kupika, kuosha vyombo, n.k huwa na ushiriki mdogo zaidi wa kimapenzi (tendo la ndoa) na wake zao tofauti na wale ambao hawafanyi kazi za nyumbani (hushiriki zaidi tendo la ndoa na wake zao
 
Kuunda Suti ya Spider-Man ambayo ina vigezo vyote muhimu kama inavyotakiwa, malighafi zake tu pekee kuzipata wastani uwe na Tsh. Bilioni 5.8 ($2.5M). Kama utahitaji Suti ya kisasa (mfano kama iliyotumika kwenye filamu ya Spider-Man: No Way Home) jiandae na Tsh. Bilioni 38.2 ($16,415,000).
 
Back
Top Bottom