Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hizi ni njia chache ambazo zinatumia viungo vya nyumbani/jikoni kutoa mba,

Vinegar/Siki: husaidia kuua fungus na bacteria wanoa sababisha mba, chukua siki changanya na maji kidogo paka katika ngozi ya kichwa kaa na mchanganyiko huo kwa muda wa lisaa limoja kisha osha kichwa chako.
 
Vitunguu swaumu: saga vitunguu swaumu changanya na asali na tangawizi ili kukata ile harufu mbaya ya kitunguu swaumu paka kwenye ngozi ya kichwa kaa nayo kwa muda wa nusu saa kisha osha nywele zako. unaweza pia kutumia shampoo au conditioner zenye kitunguu swaumu.
 
Aloe vera: chukua jani la Aloe Vera saga changanya na maji kidogo paka kwenye ngozi ya kichwa kaa nayo kwa muda kisha osha nywele zako.
 
Tafiti: Jamii ya Nyani 'Macaques' kutokea nchini Indonesia hutumia mawe kama 'sex toys' kwaajili ya kujichua (Masturbate). Nyani vijana ndio walionekana wakifanya zaidi kitendo hicho kuliko wakubwa!

Chanzo: Business Insider
 
Uwepo wa mitandao ya kijamii umerahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali za kiserikali na ukusanyaji wa maoni. Ni muhimu kwa taasisi zingine za kiserikali ambazo hazijajiunga katika mitandao ya kijamii kuona fursa hiyo ili kuwafikia wananchi wengi zaidi!
 
Kasi ya sayari ya Dunia kujizungusha kwenye mhimili wake imekua ikiongezeka maradufu, kwa miaka 60 iliyopita imeweza kufikia kasi yake ya juu kabisa. Wanasayansi wanadai kama hali itaendelea hivi mpaka kufikia mwaka 2026 muda unaweza kutofautiana kwa sekunde 0.9 na hivyo kupelekea kwa mara ya kwanza kihistoria muda unaotumika kwa sasa kurekebishwa!
 
Back
Top Bottom