Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza kumtambua mtu ambae anadanganya kuhusu yale anayoongea/anayoandika kwenye mtandao, kutokana na namna anavyotumia matumizi ya lugha. Mfano kwa kiasi kikubwa hutumia kwa kiasi kidogo viwakilishi vya nafsi' kama Mimi, Wewe, Wao, Nyinyi n.k Lakini hutumia kwa kiasi kikubwa Vivumishi' kama Kizuri, Changu, Yake, Safi, Mrembo....
 
Mieleka ni mchezo wa maigizo lakini yenye uhalisia. Kila kinachofanyika kimepangwa tayari (scripted) na wapiganaji huwa wanajua lakini unachokiona kina uhalisia ndiyo maana kuna muda wanaumia. Kwa ufupi Mieleka' wanakuonesha kile wanachotaka uone na sio uhalisia wa kinachotokea.
 
Ukuaji wa matumizi ya mtandao nchini unategemea kwa kiasi kikubwa na gharama za Data, ni muhimu kwa serikali kuhakikisha inaweka miundombinu mizuri ya unafuu kwa wananchi kwenye gharama za Data kwa maendeleo makubwa zaidi ya kidijitali!
 
Tafiti: Wastani wa muda ambao Mtu anapaswa kuutumia bafuni wakati wa kuoga ni dakika 8, ukipunguza au kuongeza inaweza kukuletea madhara ya kiafya kwenye ngozi yako.
 
Tumia mitandao kwa kujifunza, kuburudika ama kuamua kusambaza elimu kwa watu wengine. Pia unaweza kutumia mitandao ya kijamii kuhoji kuhusu utendaji wa serikali kwa kuzingatia vyema haki ya #Uhuruwakujieleza
 
Back
Top Bottom