Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je,wajua?

Ng'e tofauti na jamii yake nyingi ambayo hutaga mayai, wao huzaa mtoto kamili. Hutunza mayai ndani mpaka watoto watapokua tayari kutoka ndio huwatoa kwa mfumo wa kuzaa!
 
Tafiti: Wanaume Mapopo' (wakeshaji) huongoza kwa kupenda kufanya ngono zaidi na hawapendi kujihusisha na mapenzi ya muda mrefu wao ni 'One Night Stand' tu
 
Nataliya Kuznetsova' ni mwanamke mtunisha misuli pia mnyenyua vitu vizito kutoka Urusi ambae anashikilia rekodi kadhaa kutokea mashindano mbalimbali. Anaishi Urusi' na kaolewa na Mwanaume mtunisha misuli pia.
 
WhatsApp wameachia uwezo mpya ambao unawawezesha "admins" wa makundi kuweza kufuta ujumbe wowote uliotumwa kwenye kundi. Admin ataweza kufuta ujumbe ndani ya siku 02 tangu ujumbe ulipotumwa! na watu wataweza kuona taarifa ya ujumbe kufutwa na admin yupi aliyefanya hivyo!
 
Samsung imehusika kwa 82% kutengeneza vioo vya Iphone 14 zote, 12% iliyobaki wamehusika LG na 6% kampuni ya BOE kutoka China. Kwa mwaka huu Apple wanatarajia kuingiza sokoni iPhone 14 takribani milioni 34.Ushirikiano wa Samsung na Apple hasa kwenye kuunda vioo' upo kwa miaka mingi
 
Back
Top Bottom