Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jonas Salk' baada ya kugundua chanjo ya ugonjwa wa Polio' aligoma kuiwekea hatimiliki yake ili kujipatia faida kama makampuni mengi ya dawa yanavyofanya. Alipoulizwa kwanini alisema " “Siwezi kuiwekea hatimiliki, Je waweza kuliwekea hatimiliki Jua?."Kama angeiwekea hatimiliki yake ingempa utajiri wa zaidi Tzs. Trilioni 16 ($7B)