melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,748
Jf oyeeee.
Duuh!Hippopotomonstrosesquippedaliophobia" ni uoga wa kuona au kutamka maneno marefu
Duh, aisee!Malaysia: Kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo (Oral Sex) ni kosa la jinai, ukikamatwa unaweza kuhukumiwa kifungo mpaka cha miaka 20.
Mara 50 kwa siku, daah😁😁Simba Jike anapokuwa kwenye joto hujamiiana zaidi ya mara 50 kwa siku na madume tofauti kwa takribani siku 05 mfululizo!
Alifanya ukarimu kwa jamii yote!Jonas Salk' baada ya kugundua chanjo ya ugonjwa wa Polio' aligoma kuiwekea hatimiliki yake ili kujipatia faida kama makampuni mengi ya dawa yanavyofanya. Alipoulizwa kwanini alisema " “Siwezi kuiwekea hatimiliki, Je waweza kuliwekea hatimiliki Jua?."Kama angeiwekea hatimiliki yake ingempa utajiri wa zaidi Tzs. Trilioni 16 ($7B)