Samsung imehusika kwa 82% kutengeneza vioo vya Iphone 14 zote, 12% iliyobaki wamehusika LG na 6% kampuni ya BOE kutoka China. Kwa mwaka huu Apple wanatarajia kuingiza sokoni iPhone 14 takribani milioni 34.Ushirikiano wa Samsung na Apple hasa kwenye kuunda vioo' upo kwa miaka mingi