Unaweza kumtambua mtu ambae anadanganya kuhusu yale anayoongea/anayoandika kwenye mtandao, kutokana na namna anavyotumia matumizi ya lugha. Mfano kwa kiasi kikubwa hutumia kwa kiasi kidogo viwakilishi vya nafsi' kama Mimi, Wewe, Wao, Nyinyi n.k Lakini hutumia kwa kiasi kikubwa Vivumishi' kama Kizuri, Changu, Yake, Safi, Mrembo....