Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Wastani wa muda ambao Mtu anapaswa kuutumia bafuni wakati wa kuoga ni dakika 8, ukipunguza au kuongeza inaweza kukuletea madhara ya kiafya kwenye ngozi yako.
 
Darubini hii iliundwa na Sir Isaac Newton mwaka 1668, ilikua na uwezo wa ku zoom' mpaka 40x na kuonesha picha kwa ubora mzuri tu. Mfalme kwa kipindi hicho aliipenda sana mpaka kuamua kumteua Newton kuwa Mbunge!
Unapataga wapi hizi Nondo?
 
Ni bora kushindwa kwenye kitu halisi kuliko kufanikiwa kwenye kitu cha kuiga.”Herman Melville
 
Njia ya kufanikiwa na barabara ya kushindwa ni sawa kabisa.”Colin R. Davis
 
Mafanikio huja kwa wale ambao wanafanya bidii kubwa kuyatafuta.”Henry David Thoreau
 
Usijaribu kuwa mtu wa mafanikio. Bali jaribu kuwa mtu wa thamani.”Albert Einstein
 
Acha kukimbilia pesa bali anza kukimbilia shauku yako.”Tony Hsieh
 
Mafanikio ni kupita kutoka aina moja ya kushindwa hadi nyingine bila kukata tamaa.”Winston Churchill
 
Ukitazama kwa karibu, mafanikio ya usiku mmoja huchukua muda mrefu.”Steve Jobs
 
Hakuna siri ya mafanikio, ni matokeo ya maandalizi, kufanya kazi kwa bidii, na kujifunza kutokana na kushindwa.”Colin Powell
 
Inaonekana mafanikio yameungwa na matendo. Watu waliofanikiwa wanaendelea mbele. Wanafanya makosa lakini hawaachi.”Conrad Hilton
 
Kama unataka kufanya kitu, utatafuta njia. Kama hutafanya hivyo, utatafuta kisingizio.”Jim Rohn
 
Siwezi kukupa kanuni ya mafanikio, lakini ninaweza kukupa kanuni ya kushindwa – nayo ni: Jaribu kumridhisha kila mtu.”

Herbert Bayard Swope
 
Mafanikio siyo ufunguo wa furaha. Furaha ni ufunguo wa mafanikio. Kama unapenda unachokifanya, utafanikiwa.”

Albert Schweitzer
 
Mafanikio siyo vitu ulivyokamilisha kwenye maisha yako, bali ni nini ulichowahamasisha wengine kufanya.”

Hajulikani
 
Baadhi ya watu wengine wanaota mafanikio wakati wengine wanaamka na kufanya kazi.”

Hajulikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…