Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengine furaha tuliyonayo sio kwamba tuna kila kitu, bali tulifunzwa kushukuru na kuridhika kwa kile KIDOGO tunachopata. [emoji108]
"Kuridhika" ni kauli ya kujifariji na Umaskini.

Lazima upambane kuhakikisha ulicho nacho kina ongezeka zaidi na zaidi na maradufu..

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…