[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo ng'ombe kampa nani? Mbona huku wanaukoo hatujaziona?Moudgulf kesha nimaliza kwa ten ng'ombes
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Unajihami et eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23]. Hii haijawahi tokea. Mwolewaji kula mahari? Aisee hii kali!Kafuata dadaako mwenyewe hukooo sijui Msalala?
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Nimechekaaa amejua ni cheti
Hata gari alilopewa mshindi wa mwisho wengi walililalamikia. Kwangu mimi huwa naona kama udhalilishaji tu. Afadhali angalau wa kwetu huwa hawavai vichupi.Tungeachana kabisa na mambo ya umiss!
Hawana pesa ya kui run yaani ni kuwa aibisha tu vidada
Hapo tayari ushapigwa [emoji23][emoji23][emoji23]