Ni usumbufu wa hali ya juu!Hata gari alilopewa mshindi wa mwisho wengi walililalamikia. Kwangu mimi huwa naona kama udhalilishaji tu. Afadhali angalau wa kwetu huwa hawavai vichupi.
True[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AibuAskofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa! Mi nasubirisha methali. Nazipenda sana!
Kweli,shangaz asiyempenda mama yao wa nn sasa. Hapo alikua anataka picha tu ya kuzima maneno ya watu sio kutembelea familia ya kaka yake
Daaah aiseeeh