myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Ukitaka kufurahia maisha njia ni moja tu. Acha kutafuta mtu wa Kumlaumu.
✔️✔️Ukitaka kufurahia maisha njia ni moja tu. Acha kutafuta mtu wa Kumlaumu.
SawasawaSio kila aliye karibu na wewe anakupenda. Kuna baadhi ya watu hawawezi kukulenga Ukiwa mbali nao ni lazima wasogee karibu yako kwanza.
SawaMnaachana mnarudiana kila siku. Kilichobaki mje mpeane UKIMWI sasa. Ukiachana na mtu usiruhusu kurudiana naye tena.
NakubaliAnaye kupenda ni yule anaye kuambia ukweli. Hata kama utachukia ila Lengo ubadilike.
👍👍
DuhTarime hawataki taa za barabarani
View attachment 2956926
Kila siku....Mafanikio yanahitaji unyenyekevu na uwe tayari kujifunza Kila siku.
SawasawaWanyama wengine wanahitaji kula mara kadhaa kwa siku ili kupata nguvu ya kuishi. Kwa mfano, tembo anaweza kula hadi kilo 375 za mimea kwa siku.
✔️✔️Wanadamu hawawezi kuishi bila chakula na maji kwa siku nyingi. Ulaji chakula ni sehemu ya maisha yetu na ni asili ya binadamu kula chakula kila siku. Lakini je, unajua kwamba kuna viumbe wengi wanaoweza kuishi bila kula chakula au kunywa maji?
SawaKando na ngamia ambao wanaweza kuishi kwa miezi kadhaa bila maji, kuna wanyama wengine wanaofanana na ngamia. Kwa hivyo ni wapi? Tutakuonyesha baadhi ya wanyama hawa hapa.