Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wengine hawakupendi, wanapenda jinsi unavyowapenda na wengine hawajali sana kuhusu wewe, Wanajali tu kile unachoweza kuwafanyia. Usiondoe upendo kwa ajili ya kosa bali ondoa kosa kwa ajili ya upendo utaishi vizuri bila ya visasi