Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ubaya wa kumuumiza anayekutendea
wema, Utakutana na waovu watakao
kukumbusha wema wake, Usipigane dhidi ya yule usiyweza kujitetea,Na
wala usishindane na mnyonge hiyo ni
dhuluma, Ukishindana na mwenye nguvu huko ni kujiangamiza, Yakupasa kushindana na shida zako ili ufanikiwe