Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu Anabaki Kuwa Mungu Hata Akijibu au Asipojibu Kile Unataka,Unayo kila sababu ya kuwa na tumaini kwa sababu Mungu sio kipofu anaona juhudi zako,Kazi zako na jasho lako,Pia anaona unavyowapigania wanaokutegemea,Hakika hatakuacha endelea tu kupambana usikate tamaa
 
Hata uwe na mafanikio kiasi gani maishani kamwe usiwe na kiburi na kuwadharau wengine. Kumbuka, upepo hubadilika Mtu unaemdharau leo anaweza kuwa mtu bora zaidi ambae utapaswa kumwangalia kesho. Hivyo daima kuwa na heshima na unyenyekevu kwa wengine bila dharau
 
Be with people who make you better. No drama, just aiming higher and good vibes. Have fun and stay positive, without jealousy or hate. Just bring out the best in each other. One thing i learned in this life you can be important to someone but not all the time.
 
Katika hii mechi ya maisha, kama refa asingekuwa Mungu basi wapinzani wangesema hatustahili hata kuwepo uwanjani!!! Hata katika zile nyakati zetu za shida na taabu,bado tunaendelea kuamini, Mungu wetu wa jana ndio Mungu wetu wa leo na hata milele. Hajawahi kutuacha.
 
Back
Top Bottom