Unajua kuna watu ambao wametengana kutokana na kukosa watoto kwenye ndoa , na hata wanapoingia kwenye ndoa mpya bado wanakabiliwa na changamoto hizo hizo," anasema.
"Ni muhimu kwa watu wanaopitia changamoto hizo kuwa na subira na kudumisha hali ya kupendana na kuvumiliana," Jane anasema.