myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
βοΈkila wakati wewe ndio utakuwa unawajibika moja kwa moja na MAISHA YAKO, usitafute mchawi wa maisha yako kwa sababu mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe, na kamwe usitegemee kupata matokeo makubwa kama unataka watu wengine wakubali kile UNACHOFANYA!!!!
βοΈβοΈMuhimu, ni kwamba utafiti huu unaonesha kwamba Melittin inaingilia ukuwaji wa seli za saratani ndani ya matiti ili kuzuia kuzaana kwa seli hizo , alisema Profesa Peter Klinken.
"Inatoa mfano mzuri wa ni wapi kemikali asilia zinaweza kutumika kutibu ugonjwa unaoathiri wanadamu.
βοΈβοΈβοΈJe inaweza kutumika katika siku za usoni?
Siku ya Jumatano, wanasayansi kutoka Australia magharibi walielezea utafiti huo kama wa kufurahisha.
βοΈβοΈβοΈUtafiti huo pia ulibaini kwamba kemikali ya Melittin kivyake ilikuwa na uwezo mkubwa katika kuuwa au kuharibu ukuaji wa seli za saratani.
Huku Melittin ikiwa ndani ya sumu ya nyuki wa asali pia inaweza kuzalishwa katika maabara.
AiseeSumu hiyo kali iligunduliwa kuwa na uwezo wa kuuwa seli za saratani ndani ya saa moja, bila kudhuru seli nyengine.
Lakini sumu hiyo iliongezeka viwango vingine vya tiba.
SawasawaJe utafiti huo uligundua nini?
Ulifanyia vipimo sumu za nyuki 300. Sumu hizo kutoka kwa nyuki wa kutengeneza asali zilionekana kuwa na uwezo mkubwa, alisema Ciara Duffy, mtafiti wa umri wa miaka 25 ambaye aliongoza utafiti huo.
πSumu ya nyuki awali ilibainika kuwa na tiba dhidi ya aina nyengine ya saratani kama ile ya Melanoma.
Utafiti huo wa taasisi ya Harry Perkins kuhusu tiba magharibi mwa Australia ulichapishwa katika jarida la asilia.
ππHuku kukiwa na maelfu ya kemikali zinazoweza kukabiliana na seli za saratani katika maabara, wanasayansi wanasema kwamba kuna chache zinazoweza kuzalishwa kama tiba ya wanadamu
DuhSaratani ya matiti imeelezewa kuwa saratani ambayo inawaathiri wanawake wengi duniani
SawaSumu hiyo na kemikali aina ya melitin - zilitumika dhidi ya aina mbili ya saratani ambazo ni ngumu kutibu.
Ugunduzi huo umetajwa kuwa wa kufurahisha , lakini wanasayansi wametoa tahadhari kwamba vipimo zaidi vinahitajika.
πππWanasayansi wa Australia wanasema kwamba sumu ya nyuki wanaotengeneza asali ina uwezo wa kuharibu seli hatari za saratani ya matiti katika maabara.
πβοΈUnapoenda kulala leo usiku mwambie Mungu, Jua linapozama ninakuomba likazame na yote yaliyoniumiza Leo,Nimeweka kila maumivu na uchungu mikononi mwako.,Ili kesho nianze siku yangu nikiwa na furaha na nguvu mpya,Ameen
AminaUnapoenda kulala leo usiku mwambie Mungu, Jua linapozama ninakuomba likazame na yote yaliyoniumiza Leo,Nimeweka kila maumivu na uchungu mikononi mwako.,Ili kesho nianze siku yangu nikiwa na furaha na nguvu mpya,Ameen
ππUnapoenda kulala leo usiku mwambie Mungu, Jua linapozama ninakuomba likazame na yote yaliyoniumiza Leo,Nimeweka kila maumivu na uchungu mikononi mwako.,Ili kesho nianze siku yangu nikiwa na furaha na nguvu mpya,Ameen
βοΈππkila wakati wewe ndio utakuwa unawajibika moja kwa moja na MAISHA YAKO, usitafute mchawi wa maisha yako kwa sababu mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe, na kamwe usitegemee kupata matokeo makubwa kama unataka watu wengine wakubali kile UNACHOFANYA!!!!
βοΈπβοΈkila wakati wewe ndio utakuwa unawajibika moja kwa moja na MAISHA YAKO, usitafute mchawi wa maisha yako kwa sababu mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe, na kamwe usitegemee kupata matokeo makubwa kama unataka watu wengine wakubali kile UNACHOFANYA!!!!
ππβοΈkila wakati wewe ndio utakuwa unawajibika moja kwa moja na MAISHA YAKO, usitafute mchawi wa maisha yako kwa sababu mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe, na kamwe usitegemee kupata matokeo makubwa kama unataka watu wengine wakubali kile UNACHOFANYA!!!!
Sawasawaukigundua kuwa HICHO unachofanya haukipendi, jitahidi sana kuandaa mpango wa kuanza kufanya unachokipenda_ kumbuka kuwa PASSION ndio inakupa matumaini kuwa utakuwa bilionea hata kama leo hauna hela ya chakula huku UKIENDELEA KUPAMBANA!
ππkila wakati wewe ndio utakuwa unawajibika moja kwa moja na MAISHA YAKO, usitafute mchawi wa maisha yako kwa sababu mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe, na kamwe usitegemee kupata matokeo makubwa kama unataka watu wengine wakubali kile UNACHOFANYA!!!!