myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muhimukwa sababu ya kuwaogopa watu na kutaka kuwaridhisha unajikuta unashindwa kuchukua HATUA STAHIKI na MATOKEO yake umejikuta UNALIPIA GHARAMA kubwa sana kwa sababu ya kuchelewa kufanya maamuzi magumu kwa wakati husika maishani mwako!!!!