myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee....UKWELI MCHUNGU unaopaswa kuujua na kuuelewa ni huu wa kama mtu hajakusaidia USIMGEUZE kuwa ADUI yako, endelea kupambania MALENGO YAKO kwa sababu utafanikiwa tu_ kumbuka kuwa sio kila ambaye hakupi MSAADA pale unapohitaji basi anakuchukia!!!!