myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muhimukuna wakati utaamua 'kubaki hivyo ulivyo' ni sawa sawa kabisa na KUJIAMINISHA kimoyo kimoyo kuwa HAUNA namna yoyote ile unaweza kufanya ili UBADILISHE hali yako ULIYONAYO SASA, kamwe usikubali HALI hiyo IKUNG'ATE_ endelee KUJIPAMBANIA!!!!