myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa ✔️una nini MKONONI MWAKO? Ukweli ni kuwa WAKATI MWINGINE TATIZO SIO KUTOKUWA NA KITU KINACHOWEZA KUKUTOA BALI NI KUTOKUJUA THAMANI YA KILE ULICHONACHO!!!!
Sawasawa ✔️una nini MKONONI MWAKO? Ukweli ni kuwa WAKATI MWINGINE TATIZO SIO KUTOKUWA NA KITU KINACHOWEZA KUKUTOA BALI NI KUTOKUJUA THAMANI YA KILE ULICHONACHO!!!!
🖐🖐Salam kwenu wadau
Nakubali hiliKuna wakati unaweza ukapita kwenye MAGUMU makubwa sana lakini watu wengine wakikuuliza kuhusu hali yako na maendeleo yako kwa ujumla wake na ukaishia kusema naendelea vizuri TU, lakini wewe mwenyewe MOYONI MWAKO UNAJUA kabisa kuwa MAMBO YAMEKUBANA kweli kweli!!!
📌una nini MKONONI MWAKO? Ukweli ni kuwa WAKATI MWINGINE TATIZO SIO KUTOKUWA NA KITU KINACHOWEZA KUKUTOA BALI NI KUTOKUJUA THAMANI YA KILE ULICHONACHO!!!!
🖐🖐🖐Salama mkuu...kwako?
Hatua..✔️unaweza kushangaa MTU ambaye AMEKUZIDI kila kitu na bado anakupiga vita hata kwa HICHO KIDOGO ULICHONACHO, kwa HICHO KIDOGO UNACHOTAKA KUKITUMIA ILI KIKUVISHE salama kwenye hiyo KESHO YAKO ILIYO KUBWA!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
📌📌📌Kuna wakati utakuwa UNAJILAZIMISHA TU kuendelea ili uonekana kwa nje kuwa uko sawa kabisa lakini kwa ndani unajua kabisa kuna mambo hayako sawa kama watu wanavyoona nje, hapo uko kwenye mchakato wa KUTENGENEZWA kama ambavyo WATU wote WAKUU walivyopitishwa!!!!
Amina...Kuna wakati utakuwa UNAJILAZIMISHA TU kuendelea ili uonekana kwa nje kuwa uko sawa kabisa lakini kwa ndani unajua kabisa kuna mambo hayako sawa kama watu wanavyoona nje, hapo uko kwenye mchakato wa KUTENGENEZWA kama ambavyo WATU wote WAKUU walivyopitishwa!!!!
✅️Kuna wakati utakuwa UNAJILAZIMISHA TU kuendelea ili uonekana kwa nje kuwa uko sawa kabisa lakini kwa ndani unajua kabisa kuna mambo hayako sawa kama watu wanavyoona nje, hapo uko kwenye mchakato wa KUTENGENEZWA kama ambavyo WATU wote WAKUU walivyopitishwa!!!!
✅️✅️fahamu kuwa WATU wengi waliojilazimisha kuendelelea kufanya na waliojilazimisha kuendelea kuamini hata wakati walipokuwa wanasikia maumivu makali, hapo baadae walikuja kushukuru kuwa NI BORA waling'ang'ania pasipo kukata TAMAA mapema!!!!
SAWAfahamu kuwa WATU wengi waliojilazimisha kuendelelea kufanya na waliojilazimisha kuendelea kuamini hata wakati walipokuwa wanasikia maumivu makali, hapo baadae walikuja kushukuru kuwa NI BORA waling'ang'ania pasipo kukata TAMAA mapema!!!!
KENYATA HAOMarais wawili waliotawala nchi moja
View attachment 2978840
📌📌📌fahamu kuwa WATU wengi waliojilazimisha kuendelelea kufanya na waliojilazimisha kuendelea kuamini hata wakati walipokuwa wanasikia maumivu makali, hapo baadae walikuja kushukuru kuwa NI BORA waling'ang'ania pasipo kukata TAMAA mapema!!!!
Sawafahamu kuwa WATU wengi waliojilazimisha kuendelelea kufanya na waliojilazimisha kuendelea kuamini hata wakati walipokuwa wanasikia maumivu makali, hapo baadae walikuja kushukuru kuwa NI BORA waling'ang'ania pasipo kukata TAMAA mapema!!!!
✅️📌nimejifunza kuwa katika maisha unaweza ukawa UNAPIGWA VITA SANA tena na watu ambao UNAWAFAHAMU kabisa sio kwa sababu ya VILE ULIVYO LEO bali HAWAPENDI na wangefurahi kama WATAWEZA KUZUIA VILE UNAVYOWEZA KUWA hiyo KESHO!!!!
Napambanakuna wakati utaamua 'kubaki hivyo ulivyo' ni sawa sawa kabisa na KUJIAMINISHA kimoyo kimoyo kuwa HAUNA namna yoyote ile unaweza kufanya ili UBADILISHE hali yako ULIYONAYO SASA, kamwe usikubali HALI hiyo IKUNG'ATE_ endelee KUJIPAMBANIA!!!!
Aje tu...Jasusi mbobevu, Balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania.
View attachment 2978842