myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeJane anasema kuwa mwamba mkuu umekuwa ni mume wake, kwani amesimama naye katika hali hii ya kupoteza watoto wake .
AiseeJane anasema kuwa mwamba mkuu umekuwa ni mume wake, kwani amesimama naye katika hali hii ya kupoteza watoto wake .
SawaKupoteza mimba ya nne haikuwa rahisi , nililia kwa siku nyingi mno, na sikutaka kuzitizama nguo ambazo nilikuwa nimenunulia watoto wangu, kati ya kupoteza mtoto wa kwanza hadi wanne nilikuwa najiuliza je huyu mume wangu ananipenda bado? " Jane anasema.
SawaDaktari alimueleza kuwa mimba ilikuwa imeshika katika mshipa wake; alionywa kuwa ikiwa mshipa huo ungepasuka , basi maisha yake yangekuwa hatarini. Kwa hivyo alishauriwa kuwa mimba hiyo lazima itolewe ili asipoteza maisha yake.
✔️✔️Wakati huo nilipokuwa nalia watu walikuwa wanafikiria kuwa niko kwenye maombi makubwa, wasijue kuwa nilikuwa nalilia hali yangu ya kupoteza watoto wangu," Jane anakumbuka
AiseeMwanadada huyu anasema kuwa hakuelewa ni vipi Mwenyezi Mungu alikuwa anamtumia katika hali ya kupoza maisha na nyoyo za watu kupitia uimbaji wake , ilhali yeye alikuwa anawapoteza watoto kila aliposhika mimba.
AiseeWakati huu wote sikujua kuwa mtoto alikuwa amefariki, na ndani ya tumbo langu mlikuwa kumejaa damu iliyokuwa imeshikamana," Jane anakumbuka
👍👍Hawakupata majibu stahiki kutoka hata kwa madaktari wake kwani alikuwa anaelezwa kuwa kila kitu katika kizazi chake kilikuwa sawa.
✔️✔️✅️Wakati huo nilishindwa kuelewa ni kwanini licha ya utumishi wangu wa uimbaji kwa Mungu nilipitia mapito hayo,"Jane anakumbuka.
✔️✔️Msimu ambao nilimpoteza mtoto wangu wa tatu nilikuwa katika pilikapilika za uimbaji, na kwa kuwa nilikuwa nimefanyiwa upasuaji , sehemu iliyoshonwa ilianza kuwa na matatizo katikati ya uimbaji wangu," anasema.
SawaKipindi hicho Jane alianza kujiuliza maswali mengi mno ,vile vile akaanza kuwa na kero akiuliza Mwenyezi Mungu ni kwanini alikuwa anakubali yeye apitie hali hiyo.
Aisee...Kujiuliza maswali mengi
Mwanadada huyu anasema kuwa licha ya kuwa mtumishi wa Mungu yeye na mume wake walishikwa na hisia za hasira na akawa na majonzi mengi mno.
Kawaida...Jane Aller amekuwa kwenye ndoa kwa miaka 12. Kwa miaka ya kwanza minne ya kwa katika, ndoa yake kulitokea msururu wa matukio ambayo hayakuwa ya kawaida.
SawaJane, ambaye ni mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Kenya anasema ameamua kuzungumzia changamoto zake kuwatia moyo wengine.
KweliNi safari ambayo Jane anaamini wanawake wengi wanaipitia kimya kimya bila kujitokeza hadharani
SawaKwa muda mrefu, yeye na mumewe Donah Omondi walikuwa wakifanya juhudi za kupata mtoto.
Lakini kila walipokaribia kupata, bahati haikuwa upande wao.
KweliUnapozitazama video za Jane Aller na nyimbo zake kwenye mitandao ya kijamii, huwezi kamwe kudhani kwamba anaupitia mtihani mgumu maishani.