myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muhimukwa sababu ya kuwaogopa watu na kutaka kuwaridhisha unajikuta unashindwa kuchukua HATUA STAHIKI na MATOKEO yake umejikuta UNALIPIA GHARAMA kubwa sana kwa sababu ya kuchelewa kufanya maamuzi magumu kwa wakati husika maishani mwako!!!!
Kwelikwa sababu ya kuwaogopa watu na kutaka kuwaridhisha unajikuta unashindwa kuchukua HATUA STAHIKI na MATOKEO yake umejikuta UNALIPIA GHARAMA kubwa sana kwa sababu ya kuchelewa kufanya maamuzi magumu kwa wakati husika maishani mwako!!!!
✔️✔️✔️kwa sababu ya kuwaogopa watu na kutaka kuwaridhisha unajikuta unashindwa kuchukua HATUA STAHIKI na MATOKEO yake umejikuta UNALIPIA GHARAMA kubwa sana kwa sababu ya kuchelewa kufanya maamuzi magumu kwa wakati husika maishani mwako!!!!
Sahihi kabisaJIFUNZE kuwa na MAAMUZI yenye uhakika yanayohusu MAISHA YAKO, kumbuka kuwa ukiwa mtu wa KUOGOPAOGOPA kufanya maamuzi MAGUMU yenye umakini katika maisha yako utajikuta unazidi kuchelewa KUJIPATA na KUIPATA hiyo KESHO YAKO iliyo bora ZAIDI!!!!
📌📌📌ukigundua kuwa HICHO unachofanya haukipendi, jitahidi sana kuandaa mpango wa kuanza kufanya unachokipenda_ kumbuka kuwa PASSION ndio inakupa matumaini kuwa utakuwa bilionea hata kama leo hauna hela ya chakula huku UKIENDELEA KUPAMBANA!
Nakubali hiliukigundua kuwa HICHO unachofanya haukipendi, jitahidi sana kuandaa mpango wa kuanza kufanya unachokipenda_ kumbuka kuwa PASSION ndio inakupa matumaini kuwa utakuwa bilionea hata kama leo hauna hela ya chakula huku UKIENDELEA KUPAMBANA!
🙏🙏Jifunze kujichunguza na kujikagua kila wakati, jifunze kujisoma WEWE kwanza kabla ya watu wengine na jifanye wewe ndio project ya kuifanyia kazi ili UWE BORA ZAIDI kuliko JANA__ UTAMFANYA MUNGU WAKO AFURAHIE UUMBAJI WAKE KWA AJILI YA UWEPO WAKO HAPA DUNIANI!!!!
SawaJIFUNZE kuwa na MAAMUZI yenye uhakika yanayohusu MAISHA YAKO, kumbuka kuwa ukiwa mtu wa KUOGOPAOGOPA kufanya maamuzi MAGUMU yenye umakini katika maisha yako utajikuta unazidi kuchelewa KUJIPATA na KUIPATA hiyo KESHO YAKO iliyo bora ZAIDI!!!!
📌📌JIFUNZE kuwa na MAAMUZI yenye uhakika yanayohusu MAISHA YAKO, kumbuka kuwa ukiwa mtu wa KUOGOPAOGOPA kufanya maamuzi MAGUMU yenye umakini katika maisha yako utajikuta unazidi kuchelewa KUJIPATA na KUIPATA hiyo KESHO YAKO iliyo bora ZAIDI!!!!
📌📌📌sikiliza nikwambie katika MAISHA yako lazima ujifunze kujiuliza MASWALI MAGUMU kila wakati ambayo usingependa kuulizwa na mtu mwingine yeyote yule na wakati mwingine hata kutaka kujaribu, kutafuta ama kuambiwa majibu yake!!!!
Sawasawasikiliza nikwambie katika MAISHA yako lazima ujifunze kujiuliza MASWALI MAGUMU kila wakati ambayo usingependa kuulizwa na mtu mwingine yeyote yule na wakati mwingine hata kutaka kujaribu, kutafuta ama kuambiwa majibu yake!!!!
✔️✔️sikiliza nikwambie katika MAISHA yako lazima ujifunze kujiuliza MASWALI MAGUMU kila wakati ambayo usingependa kuulizwa na mtu mwingine yeyote yule na wakati mwingine hata kutaka kujaribu, kutafuta ama kuambiwa majibu yake!!!!
Kila mtu afurahi....Kesho bora ipo kwenye mioyo yetu. Inatupa furaha tukiifikiria na tukitazama mbele kwa matumaini. Hata kama hii ya sasa haifanani na hiyo lakini ujasiri wetu upo katika ile tunayoingoja. Kwahiyo isiwepo hofu tena, wala huzuni wala sononeko na kila mtu afurahi akitazama mbele.
✔️Tukiwapoteza wazee wetu tunapoteza busara,tukipoteza watoto wetu tunakuwa tumepoteza matumaini mapya.
Matumaini mapya ✔️Tukiwapoteza wazee wetu tunapoteza busara,tukipoteza watoto wetu tunakuwa tumepoteza matumaini mapya.
📌📌Anayekulinda katika kila hatua unayopiga, ndo huyo huyo anakupitisha hapo ulipo sasa, endelea kuwa na matumaini kwani kuna nuru Mwisho wa handaki
SawaKila alipokaa kujitathimini hakuwa na matumaini na kitakachowekwa kwenye mfumo
🙏Kila alipokaa kujitathimini hakuwa na matumaini na kitakachowekwa kwenye mfumo
Ujasiri....Wakati mwingine katika maisha kitu pekee tunachohitaji ni sekunde chache za matumaini, na ujasiri wa kufuata kile tunachoota!
✔️✔️Kila alipokaa kujitathimini hakuwa na matumaini na kitakachowekwa kwenye mfumo