Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna Kipindi Kila Kitu Unachoshika KINAFELI,Kila Kazi Unayoomba UNAKOSA,Kila Mtu unayemfuata Anakukwepa,Dunia Haijawahi Kuwa FAIR Kwa Mwanaume na Haitakaaga Iwe FairSHUJAA Hupatikana Wakati wa Vita,ILAKamwe Usikate Tamaa ukafkia hatua ya Kutaka Kujiua