Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
jitahidi kuwa mvumilivu, Zingatia malengo yako, pambana sana maisha mazuri hayaji Kirahisi
✔️✔️Kama umepata Nafasi au Uwezo wa kuMove on kwenye lolote asee Move usirudi nyuma.Ukirudi na yakakushinda tena Dunia inakufungia vioo Mazima