Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kitendo cha kuamka tu asubuhi ni ishara ya kuwa wewe ni mshindi. Maana nia thabiti ya mafanikio itasimama upya ukiwa hai.Tumia fursa aliyokupa Mungu ya kuwa hai leo ktk kupambania ndoto na malengo yako, huku ukiwa na imani kuwa one day yes. Anzia ulipoishia jana.